SiasaKimataifa06.02.2021 - Matangazo ya JioniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaRashid Chilumba06.02.20216 Februari 2021Maelfu ya raia wa Myanmar wameandama leo kupinga mapinduzi ya kijeshi. Rais wa Afrika Kusini ametoa wito kwa Afrika kupatia mikopo yenye masharti nafuu. Kansela Angela Merkel amelisifu vuguvugu la kudai demokrasia nchini Belarus. https://p.dw.com/p/3ozaBMatangazo