1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.12.2024: Matangazo ya jioni

7 Desemba 2024

Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol anusurika kungo'lewa madarakani nchini humo ++ Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuongoza sherehe za kufunguliwa tena Notre Dame mjini Paris++ Waghana milioni 18 wanapiga kura kwenye uchaguzi mkuu nchini humo

https://p.dw.com/p/4nsFi