Waasi wa Syria wameondoa amri ya kutotoka nje mjini Damascus, Urusi yaishtumu Marekani kwa kuipa Ukraine dola bilioni 20 kutoka kwa mali ya Urusi iliyofungiwa nchini Marekani na mataifa ya Ulaya yasema yako tayari kurejesha vikwazo dhidi ya Iran ikiwa italazimika