1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.09.2020 Matangazo ya Mchana

13 Septemba 2020

Meli ya Uturuki iliyokuwa inafanya utafiti wa utafutaji wa gesi katika eneo la bahari ya Mediterania The Oruc Reis, ambayo imesababisha hali ya kuzorota kwa mahusiano kati ya serikali za Uturuki na Ugiriki, imerejea nchini Uturuki mwishoni mwa juma hili.

https://p.dw.com/p/3iOw8