Jiunge nasi kwa kusikiliza matangazo ya jioni, ikiwa ni pamoja na taarifa ya habari za ulimwengu. Lakini pia utasikia mjadala mpana unaohusu mchakato wa kuelekea uchaguzi mkuu nchini Burundi, mwaka ujao katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara.