Tuliyo nayo ni pamoja na : Mkutano wa kimataifa wa usalama waendelea mjini Munich Ujerumani// Pakistai yadai kuwaua magaidi zaidi ya 100// Burundi yaitaka Tanzania kuwakamata viongozi kadhaa wa chama kikuu cha upinzani wanaohudhuria mazungumzo ya kutafuta amani yanayofanyika mjini Arusha.