1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.02.2017: Matangazo ya asubuhi

Isaac Gamba
19 Februari 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na : Marekani yasema inaunga mkono NATO// Usitishaji mapigano mashariki mwa Ukraine kuanza Jumatatu// Maandamano yafanyika Bujumbura kupinga mazungumzo ya amani yanayoendelea Arusha Tanzania.

https://p.dw.com/p/2Xqk5