1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.08.2022 Taarifa ya habari ya Asubuhi

19 Agosti 2022

Ujumbe wa bunge la Marekani nchini Kenya umetoa himizo kwa rais anaemaliza muda wake Uhuru Kenyatta kuabidhi madaraka kwa amani katika kipindi kipindi hiki ambacho taifa hilo linazongwa mvutano wa baada ya uchaguzi, kwa taifa hilo lenye demokrasia imara zaidi katika eneo la Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/4Fkye