Burundi-Mabadiliko ya katiba yatampa nafasi Rais Pierre Nkurunziza kuwania tena mihula miwili ya urais kuanzia mwaka 2020 hivyo kuweza kubakia madarakani hadi mwaka 2034// Italia- Profesa wa sheria, Giuseppe Conte, anatazamiwa kuwa waziri mkuu// Kamanda mwandamizi wa jeshi la Iran amesema umma wa Jamhuri hiyo kiislamu utampa kipigo waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo kufuatia kitisho.