1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.01.2020 - Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Januari 2020

China imetangaza vizuizi zaidi kujaribu kudhibiti kirusi cha Corona. Chama tawala nchini Burundi kimemteua jenerali wa jeshi kuwa mgombea wa kiti cha urais. Wanajeshi 19 wa Mali wameuwawa katika shambulizi la kambi ya jeshi

https://p.dw.com/p/3WqAH