1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Kusini na teknolojia ya kukuza biashara za njia ya simu

Yusra Buwayhid
29 Juni 2021

Wakati wa janga la virusi vya corona, kampuni ya Quench ya Afrika Kusini inayotoa huduma zake kwa njia ya simu kusambaza pombe nchini humo ilibadilika na kuanza kusambaza bidhaa muhimu kama vile chakula na dawa.

https://p.dw.com/p/3vk6W

Ungana na Yusra Buwayhid katika makala ya Sema Uvume akikuelezea kuhusu hilo, lakini pia ataelekea nchini Ghana ambako kampuni moja ya kidijitali ya vijana wajasiriamali imetengeneza majukwaa tofauti yanayowakutanisha wafanyabiashara na wateja mtandaoni kupitia simu zao yza mkononi au kwenye kompyuta.