1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afueni kwa wafanyabiashara mipakani Uganda

18 Februari 2022

Wachuuzi, wamachinga, au wafanyabiashara pamoja na waendesha magari ya abiria katika mipaka ya Uganda waelezea furaha yao kufuatia hatua ya kuondolewa kwa masharti ya kudhibiti virusi vya corona kwa watu wanaoingia nchini humo. Lubega Emmanuel amezuru eneo moja la mpakani na ameandaa vidio hii. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/47FRM