1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ahadi za Ruto kwa Wakenya zitatimizwa vipi?

14 Septemba 2022

Rais mpya wa Kenya William Ruto alitoa ahadi chungu nzima kwa Wakenya ikiwemo kupunguza gharama ya maisha katika siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini. Je, ataweza kutimiza ahadi hizo kikamilifu ama ilikuwa ni mbinu za kujitafutia kura wakati wa kampeni? Mchambuzi wa siasa kutoka Nairobi Barrack Muluka anazungumzia hayo

https://p.dw.com/p/4GocK