1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Almasi ya pili kwa ukubwa duniani yapatikana Botswana

23 Agosti 2024

Kampuni ya uchimbaji madini ya Canada imesema imefukua almasi kubwa ambayo ina uzito wa karibu nusu kilo kaskazini mashariki ya Botswana.

https://p.dw.com/p/4jrkG