SiasaSyriaAssad akimbia nchi, waasi waukamata DamascusTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSyriaLilian Mtono09.12.20249 Desemba 2024Raia wa Syria wameendelea kumiminika kwenye maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mji mkuu Damascus kuashiria mapambazuko yaliyosubiriwa kwa muda mrefu baada ya kuanguka kwa utawala wa Rais Bashar al-Assad. Tizama video hii kwa mengi zaidi. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/4nw6dMatangazo