1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za mvua katika jiji la Dar es salaam

7 Novemba 2023

Hali ya mvua katika maeneo ya Afrika Mashariki imeleta madhara ikiwemo maji kuvamia makaazi ya watu na kuharibu miundombinu, jiji la Dar es salaam ni miongoni mwa maeneo yalioathirika na mvua hizo. Tazama video na Yakub Talib

https://p.dw.com/p/4YWP0
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio