Mfumuko wa bei uliosababishwa na vikwazo na machafuko nchini Burundi, umeanza kuziathiri nchini humo. Mwandishi wetu wa Bujumbura Amida Issa anazungumzma na wafanyiabara na wadau wengine wanaomulweza jinsi sekta ya biashara ilivyoathirika kutokana na mfumuko huo wa bei. Ni katika Makala Yetu Leo.