1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

maiti zote ni wafuasi wa CNDD-FDD

Hamida Issa1 Machi 2016

Nchini Burundi limegunduliwa kaburi la pamoja katika jiji la Bujumbura lilozikwa zaidi ya watu 30. Meya wa jiji la Bujumbura amesema maiti zote ni za vijana wafuasi wa chama tawala. Sikiliza taarifa ya mwandishi wa DW kutoka Bujumbura, Hamida Issa

https://p.dw.com/p/1I4gh