1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi yakanusha watu wakimbia nchi

10 Februari 2017

Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi UNHCR ametakiwa kujieleza kwa Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya kusema watu 500 wanaikimbia Burundi kila siku kuepuka machafuko ama njaa.

https://p.dw.com/p/2XMG0
Wakimbizi Burundi
Picha: DW/K. Tiassou

J3 10.02 Burundi OCHA/UNHCR - MP3-Stereo