1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi yathibitisha visa vya corona

Amida Issa1 Aprili 2020

Ugonjwa wa Corona tayari umeingia Burundi. Waziri wa afya Thaddee Ndikumana amethibitisha kuwepo na watu wawili walopimwa na kugunduliwa kuwa na virusi vya Covid 19. Watu hao walingia nchini humo mmoja akitokea Rwanda na mwengine Dubai.

https://p.dw.com/p/3aIrp