Chama tawala Burundi chataka kufungulia mashtaka Wabelgiji
20 Novemba 2015
Chama cha Cndd Fdd kinataka kuwafikisha mahakamani Wabelgiji kwa madhila waliofanya tangu wakati wa ukoloni. Wakati huo huo Wabelgiji waishio Burundi wametakiwa na wizara ya mambo ya kigeni ya Ubelgiji kuondoka.