Changamoto ya mauwaji ya Albino inayoikabili Tanzania
Mohamed Karama Dahman15 Juni 2016
Tarehe 13 Juni ni Siku ya Kimataifa ya Mwamko kwa Watu wenye Ulemavu wa Ngozi. Tanzania inaripotiwa kuwa ni nchi ilioathirika zaidi, na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Mohammed Dahman amezungumza na Mussa Kabinba Katibu Mkuu wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini Tanzania, juu ya changamoto inayoikabili jamii yao.