1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za waendesha malori Kenya

Thelma Mwadzaya / MMT8 Aprili 2021

Makala yetu leo inaangazia mazingira ya biashara ya kusafirisha bidhaa kwa malori nchini Kenya ambayo inapitia kipindi kigumu ukizingatia ongezeko la bei ya mafuta, dhoruba za COVID 19 na changamoto nyengine za kibiashara.

https://p.dw.com/p/3rixF