1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za walemavu wa ngozi Burundi

Yusra Buwayhid
19 Februari 2020

Nchini Burundi watu wenye ulemavu wa ngozi wanabaguliwa na jamii na hata kuuliwa. DW imezungumza na Aline Niyubahwe, mwanamke aliyekosa fursa ya kujiendeleza na masomo ya sekondari kwa sababu ya ulemavu wake

https://p.dw.com/p/3Y138