Ujerumani Magharibi na Mashariki zilitengana wakati wa Vita Baridi kuanzia mwaka 1945 mpaka 1989. Ukuta wa Berlin ulipoanguka mwaka 1989 ndio ukasababisha mwisho wa vita hivyo baridi. Imepita miaka 31 tangu pande hizo mbili zilipoungana, lakini bado kuna changamoto mbalimbali kwenye muungano huo. Katika Makala ya Sura ya Ujerumani tunaangazia utofauti uliopo.