Vijana nchini Burundi ambao wanamaliza elimu yao ya msingi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali. Ungana na Amida Issa katika kipindi cha Vijana Tugutuke, akiwa anajadiliana na vijana wa Burundi kuhusu changamoto hizo na jinsi wanavyoweza kukabiliana nazo.