Elimu Jumla – Kipindi 6 – Nishati ya Jua07.04.20117 Aprili 2011Katika kipindi hiki tutazungumzia nishati ya jua. Au tuseme nishati inayotokana na mwanga. Jack na Jenny wanataka kufahamu zaidi kuhusu jua na kama jua laweza kutoa umeme. Wanashindana kuona ni nani yuko sahihi.https://p.dw.com/p/RGE6Matangazo