1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghana na mapambano dhid ya Malaria

Hawa Bihoga
13 Machi 2023

Ghana inapanua mpango wake wa chanjo ya kitaifa ya chanjo ya malaria ili kuhakikisha kuwa zinawafikia maelfu ya watoto walio katika hatari kubwa ya malaria. Mpango huo unaratibiwa na Shirika la Afya Duniani WHO kwa msaada wa NGOs na wadau wengine.

https://p.dw.com/p/4ObfI
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Malawi 2015 | Überschwemmungen - Malaria-Test
Picha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliancePicha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliance

Kurunzi Afya

DW Kisuaheli inakuletea vidio maalumu kuhusu masuala ya afya. Kila wiki Dkt. Sizya atakuwa akikuelimisha kuhusu mada muhimu zinazuhusu afya yako.