1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ni tete huko Laikipia, Kenya

8 Septemba 2021

Makabiliano makali kati ya polisi na kundi la watu wenye silaha yameshuhudiwa usiku wa kuamkia leo katika eneo la Laikipia nchini Kenya ambapo kwa mara nyingine tena, nyumba za wakaazi zimechomwa pamoja na shule ya umma. Kundi hilo linalosemekana kutumia zana za kisasa za kivita, limesababisha zaidi ya watu 600 kukosa makaazi, kukiwa na mahitaji makubwa ya kimsingi. Wakio Mbogho anasimulia.

https://p.dw.com/p/40496