Chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT Wazalendo kipo katika hali ya sintofahamu baada ya kuondokewa na wanachama wake 17 waliokuwa viongozi na kuhamia chama tawala, CCM. Godwin Kayoka aliyekuwa mwenyekiti wa ACT mkoani Tabora, amezungumza na DW.