You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Madaktari waandamana Ujerumani kupigania hali njema kwao
Maelfu ya madaktari wa Ujerumani wagoma kushinikiza mishahara bora na mazingira mazuri
Wakulima wakabiliwa na ukame Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema mataifa mengi yanakabiliwa na viwango sawa vya ugumu wa maisha.
Wanawake wakulima wanakabiliwa na athari za kimazingira
Wanawake wakulima wanakabiliwa na athari za kimazingira
Vijana wa Kitanzania wanaopigania ustawi wa miti ya asili
Katika kipindi cha karibuni cha 09.03.2024 utasikia juhudi za asasi isiyo ya kiserikali SAHO inayoudwa a vijana wa Kitanzania yenye shabaha ya kudumisha uhai na uwepo wa miti ya asili katika uso wa dunia kwa kukusaya mbengu na kuotesha katika maeneo mengine ya taifa lao.
Kuna mpinzani tena wa Leverkusen katika Bundesliga msimu huu?
Bayer Leverkusen taratibu yaujongelea ubingwa wa Ujerumani baada ya kufungua mwanya wa pointi kumi baina yake na timu iliyo katika nafasi ya pili Bayern Munich. Chini ya jedwali nako FC Cologne wanahaha, hali si nzuri wako katika hatari ya kushuka daraja. Sikiliza uchambuzi kati ya Jacob Safari na mchambuzi wa kandanda la Ujerumani Sekione Kitojo.
UNEA yakutana Nairobi kujadili ushirikiano dhidi ya migogoro
UNEA inafanya mkutano kujadili jinsi ya kukabiliana na migogoro kama vile mabadiliko ya tabianchi.
Faida za Misitu kusini mwa Tanzania
Katika Makala hii ya Mtu na Mazingira Salma Mkalibala anaangazia, faida za kimazingira zinazotokana na uwepo wa Misitu ya Ukanda wa Pwani na changamoto zake.
Tuchel kuondoka Bayern Munich mwisho wa msimu
Afisa Mkuu mtendaji Jan-Christian Dreesen amesema wanataka kufuatilia muelekeo mpya wa soka na kocha mpya msimu ujao.
Watu 25 wafariki kufuatia maporomoko ya theluji Afghanistan
Maporomoko ya theluji yamesababisha vifo vya watu 25 wengine kadhaa wakikwama katika jimbo la Nuristan, Afghanistan.
Mazingira: Ujasiriamali kupitia ukusanyaji taka Kisumu
Ongezeko la idadi ya watu linamaanisha ongezeko pia la takataka zinazotokana na shughuli zinazofanywa na watu hao.
Guterres alalamikia mataifa kutumia pesa katika silaha
Guterres alalamikia mataifa kutumia pesa katika silaha
Dunia yapata miezi 12 ya kwanza ya joto kuvuuka nyuzi 1.5C.
Shirika la mabadiliko ya tabianchi la Ulaya limesema dunia imepitia miezi 12 ya joto linalopindukia nyuzi 1.5C.
Rahma: Jasiri katika kupambania mazingira bora
Kila kukicha athari za mabadiliko ya tabia nchi zinashuhudiwa ulimwenguni kote, ikiwemo joto kuongezeka, mafuriko, mvua sizizo za wakati na wakati mwingine kiangazi kinachosababisha ukame mkali, lakini jambo la kutia matumaini ni kwamba wapo watu wanaotoa elimu ili kushirikiana kukabili changamoto hii ya ulimwengu. Rahma ni miongoni mwao na ndio mgeni wetu kwenye Msichana Jasiri leo
Myanmar imeingia mwaka wa 4 baada ya mzozo wa mapinduzi
Myanmar leo inaingia mwaka wake wa nne tangu kufanyika kwa mapinduzi yaliomaliza utawala wa kidemokrasia.
Je, ni nini maana ya upotoshaji kuhusu tabia nchi?
Habari potofu na uwongo pia huchapishwa na baadhi ya vyombo vya habari au kusambazwa na wanasiasa wanaopenda umaarufu.
Zaidi ya hekta 17,000 za nyika zateketea kwa mioto Australia
Mabadiliko ya hali ya hewa kwa kiasi kikubwa yanachochea majanga kote ulimwenguni kama njaa, ukame na mengineyo.
Athari za mvua Dar es Salaam
Tazama hali ilivyo katika viunga vya Dar es Salaam baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha athari kwa wakazi.
Mtu na Mazingira: Uchafuzi utokanao na paneli za jua zilizo chakavu
Wakati ulimwengu ukijaribu kuachana na nishati ya visukuku ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la joto duniani ili kuelekea kwenye matumizi ya nishati mbadala, tatizo jipya la uchafuzi wa mazingira limeibuka na kuwa tishio. Katika kipindi hiki cha Mtu na Mazingira tutaangazia uchafuzi wa mazingira utokanao na taka za paneli za jua ambazo zimeharibika au kuchakaa.
UN: Watoto huzaliwa katika mazingira hatari huko Gaza
UNICEF: "Wanawake wajawazito huvuja damu hadi kufa wakati wakifanyiwa upasuaji wa dharura."
Mamia ya safari za ndege na treni zafutwa Ujerumani
Hali mbaya ya hewa yasababisha adha Ujerumani,Norway,Sweden na kwengine Ulaya
Upandaji wa miti kudhibiti jangwa Kanda ya Sahel
Ongezeko la joto duniani linavuruga zaidi Ukanda wa Sahel ambao hivi sasa unakumbwa na migogoro ya kikabila na vita dhidi ya makundi ya kigaidi. Kwenye makala hii ya Mtu na Mazingira tunaangazia miradi kadhaa ya kurutubisha eneo la Sahel katika juhudi za kukabiliana na kuenea kwa jangwa na ukame vinavyoliathiri eneo hilo la Afrika Magharibi. Ni Mtu na Mazingira na Saleh Mwanamilongo
Matumizi ya nishati mbadala yaongezeka duniani
Shirika la Kimataifa la uratibu wa Nishati (IEA) lasema matumizi ya nishati mbadala yaongezeka kwa asilimia 50 duniani.
Joto la 2023 halikuwahi kushuhudia miaka 100,000 iliyopita
Mamlaka ya mabadiliko ya tabianchi Ulaya inasema 2023 ulikuwa mwaka wenye joto kali zaidi kuwahi kurikodiwa duniani.
Baridi kali na barafu yasababisha umeme kukatika Ukraine
Ukraine yasema hali mbaya ya hewa ya baridi kali imesababisha zaidi ya miji na vijiji 1000 kukosa umeme.
India yafanikiwa kupeleka chombo anga za juu kulitafiti Jua
Chombo cha utafiti wa anga za mbali cha India kimefanikiwa leo kuingia kwenye mzingo wa Jua
Idadi ya vifo vya tetemeko nchini Japan yafikia 73
Waziri Mkuu wa Japan alisema jambo la kipaumbele ni kuokoa maisha ya watu walikwama kwenye vifusi.
Ujerumani bado yakabiliana na mafuriko
Wataalamu wa Ujerumani wanasema maafa ya mafuriko yanatokea kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa.
Ujerumani bado inakabiliana na mafuriko
Ujerumani bado inakabiliana na mafuriko
Kansela Scholz atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko
Mito iliyofurika imesababisha maji kujaa kwenye makazi, barabarani na mashambani baada ya wiki kadhaa za mvua kubwa.
Urusi yaivurumishia mvua ya makombora Ukraine
Msaidizi wa rais wa Ukraine amesema mashambulizi hayo yanaonesha namna Ukraine inavyohitaji msaada zaidi wa kimataifa.
Mafuriko Kongo yaendelea kuathiri wakaazi
Wakaazi wa mji wa Kinshasa wapo katika hatari ya kukumbwa na mafuriko baada ya Mto Kongo kufurika.
Mgogoro wa kibinadamu utazidi kuongezeka mwaka 2024?
Kamati ya kimataifa ya harakati za uokozi, IRC imesema migogoro inayowakabili binadamu itaongezeka mnamo mwaka wa 2024.
Abiria Nigeria kusafiri kwa nusu nauli katika kipindi hiki
Abiria Nigeria kusafiri nusu ya nauli katika kipindi hiki
Mafuriko yauwa 31 Tamil Nadu India
Mafuriko yauwa 31 Tamil Nadu India
COVID-19 yarudi tena Ujerumani msimu wa baridi
Vipimo vya maji machafu nchini vinaonyesha kuwa maambukizo ya COVID-19 yamefikia viwango vya juu zaidi tangu Juni 2022.
Tshiseked aahidi uchaguzi wa kuaminika Kongo
Rais wa DR Kongo Felix Tshisekedi amesema uchaguzi mkuu wa siku ya Jumatano utafanyika katika mazingira ya kuaminika.
EU: Makampuni yatakayosababisha athari za kijamii kuwajibika
Sheria mpya za EU kwa makampuni kupunguza athari mbaya katika utendakazi wao.
Wawakilishi wa COP28 wafikia makubaliano "ya kihistoria"
Wawakilishi wa COP28 wafikia makubaliano "ya kihistoria" ili kuepusha athari mbaya zaidi ya mabadiliko ya tabia nchi.
Umoja wa Mataifa mbioni kutafuta makubaliano ya Dubai
Nchi zinazozalisha mafuta zinapinga wito wa kihistoria wa ulimwengu kuondokana na nishati ya visukuku.
Shamrashamra za msimu wa likizo Berlin
Kurunzi Ujerumani leo inauangazia mji mkuu wa Berlin na jinsi ulivyopambwa kuelekea sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya.
Hoja za wanaharakati wa mazingira katika COP28
Nchi zinazoshiriki mkutano wa kilele wa Tabianchi wa Umoja wa Mataifa COP28 mjini Dubai, zinazingatia kutoa wito wa kukatizwa rasmi kwa matumizi ya nishati ya visukuku kama sehemu ya makubaliano ya mwisho ya mkutano huo wa kimataifa kukabiliana na ongezo la joto duniani. Bruce Amani amezungumza na Obed Koringo, mshauri wa sera za tabianchi kutoka shirika lisilo la kiserikali la CARE International
Changamoto ya kupatikana muafaka wa kupunguza hewa ukaa
Changamoto ya kupatikana muafaka wa kupunguza hewa ukaa
Afrika imenufaikaje na mkutano wa mazingira COP28 ?
Katika makala ya Mazingira Saleh Mwanamilongo anaangalia faida iliyopata Afrika katika mkutano wa kilele wa Mabadiliko ya Tabia Nchi-COP28
COP28: Mazungumzo kuhusu nishati ya visukuku yapamba moto
Mkuu wa Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa, Achim Steiner, ameonya dhidi ya ukosoaji wa mapema wa UAE
COP28 inazingatia kukatizwa rasmi kwa nishati ya visukuku
Hatua hiyo inalenga kukabiliana na ongezo la joto duniani
COP28 ipo katika tafakari kuachana na nishati ya visukuku
COP28 ipo katika tafakari kuachana na nishati ya visukuku
Wanasayansi wanaofu ulimwengu unaweza kuvuka nyuzi joto 1.5
Wanasayansi wanaofu ulimwengu unaweza kuvuka nyuzi joto 1.5
Waliokufa kutokana na maporomoko wafikia 68 Tanzania
Waliokufa kutokana na maporomoko wafikia 68 Tanzania
Wajumbe wa COP28 watoa ahadi za fedha
Ahadi za fedha zimepewa nafasi kubwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya mabadiliko ya tabia nchi.
Mafuriko yauwa watu karibu 50 Tanzania
Mafuriko ya maji yalioambatana na matope yalioukumba mji mdogo wa Hanang huko mkoani Manyara Kaskazini mwa Tanzania yamesababisha vifo vya karibu 50.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 27
Ukurasa unaofuatia