Mjini Mombasa uchaguzi umeendelea baada ya vituo vya kupigia kura kufunguliwa saa kumi na Mbili asubuhi. Lakini idadi ya wapiga kura waliojitokeza ni ndogo. Erick Ponda anaripoti kutoka Mombasa.
https://p.dw.com/p/2mXVS
Matangazo
Mwandishi wetu wa Huko Mombasa Eric Ponda ametembelea baadhi ya vituo hivyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.