1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Historia ya Tanzania katika maonyesho ya Berlin

Sylvia Mwehozi
4 Desemba 2024

Tanzania na Ujerumani zina historia ya muda mrefu na iliyojaa machungu hasa wakati wa ukoloni. Maonyesho kuhusu historia ya Tanzania yamefanyika mjini Berlin na kuhusisha mali zilizoporwa na Wajerumani.

https://p.dw.com/p/4nj0r