1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hofu ya kupasuka bwawa eneo la Njoro, Kenya

Wakio Mbogho10 Julai 2019

Viongozi na wakaazi wa eneo la Njoro, Kenya, wanaililia serikali kuchukua hatua ya dharura kuhusu bwawa linalovuja eneo hilo kuepuka maafa kama yaliyoshuhudiwa mwaka jana bwawa la Solai lilipopasuka na kuwaangamiza watu 48.

https://p.dw.com/p/3Lqq9