1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hofu ya kupotea kwa Sokwe mtu Tanzania

18 Septemba 2020

Katika hifadhi ya Gombe nchini Tanzania ndiko wanakopatikana wanyama sokwe wanaotajwa kufanana kabisa na binadamu ambao ni kivutio duniani.

https://p.dw.com/p/3ifNC

Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye hifadhi nyingi na kubwa za wanyamapori na hifadhi za misitu asilia, hata hivyo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya tabia nchi, shughuli za kibinadamu ukiwemo ujangili, kilimo na ufugaji, wanyamapori aina ya Sokwe Mtu walioko katika hifadhi ya taifa ya Gombe mkoani Kigoma wako katika hatari ya kutoweka. Safiri na Prosper Kwigize hadi katika hifadhi ya Gombe katika makala hii ya Mtu na Mazingira.