1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idadi ya vifo yaongezeka baada ya maporomoko Hanang

Hawa Bihoga
5 Desemba 2023

Idadi ya waliofariki katika maporomoko ya udongo nchini Tanzania imeongezeka na kupindukia 60, huku waliojeruhiwa waziwa zaidi ya 110, serikali imesema inafanya tathmini ili kutoa fidia kwa wahanga wa mkasa huo.

https://p.dw.com/p/4ZoAY
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio