SiasaIEBC na serikali zashindwa kukubaliana29.09.201629 Septemba 2016Tume ya uchaguzi Kenya haijaafikiana na serikali juu ya kiwango cha malipo kwa makamishna wanaotaka kubanduliwa madarakani. Upinzani unasisitiza makamisha wa tume waondoke kufikia tarehe Mosi Oktoba.https://p.dw.com/p/2Qj1GWaandamanaji wanaoipinga IEBCPicha: DW/A. KitiMatangazoJ2.29.09.2016 IEBC Crisis - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio