Mamlaka ya usimamizi wa huduma za polisi nchini Kenya, IPOA, imeanzisha uchunguzi wa matukio ambapo washukiwa wa uhalifu wamefariki mikononi mwa polisi. Watetezi wa haki za kibinadamu wamelaani ongezeko la mauaji hayo. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho kutoka Nakuru.