Washirika wa mataifa ya magharibi wanapanga vikwazo vipya "vya pamoja" dhidi ya Iran. Lakini taifa hilo lililotengwa kimataifa linajitutumua kuwa na uwezo wa kijeshi. Iran itamudu kweli kuingia vitani? Na gharama zipi watawala wake watalipa kwa kufikia malengo yake ya kijeshi?