JamiiJe, Kijana unakosha mikono baada ya janga la Corona?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiJacob Safari15.03.202315 Machi 2023Wakati wa janga la Corona kila kijana alitembea na vitakasa mikono na kila mara walisafisha mikono kujikinga na kuambukizwa virusi hivyo.Katika makala hii Jacob Safari anatathmini na vijana kama bado wanaendeleza utamaduni huo.https://p.dw.com/p/4OhuOMatangazo