1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je ni kweli Tanzania imewadhulumu raia haki ya kushitaki mahakama ya Afrika?

3 Desemba 2019

Baada ya ripoti ya shirika linalopigania haki za binaadamu la Amnesty International kusema kwamba serikali ya Tanzania imewapokonya raia na mashirika yasiyo ya kiserikali haki ya kufungua kesi katika mahakama ya Afrika kuhusu haki za binaadamu, Sudi Mnette amezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Dokta Abdallah Possi aliyeanza kuzungumzia sababu za serikali kuchukua uamuzi huo.

https://p.dw.com/p/3UA46