1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Raila ana nafasi gani ya ushindi katika uchaguzi 2022?

John Juma15 Machi 2022

Huenda urais ndicho cheo kikubwa ambacho hakipo kwenye wasifu wa Raila Odinga kisiasa nchini Kenya. Je ana nafasi gani ya kujipatia ushindi kuelekea katika uchaguzi mkuu mwaka huu? Na je mshindani wake William Ruto ana nafasi gani kutia kikomo ushawishi wa familia ambazo zimetawala siasa za Kenya kwa miaka mingi hususan Kenyatta, Moi na Odinga? Sikiliza mahojiano ya John Juma na Javas Bigambo.

https://p.dw.com/p/48U3u