1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, tume ya IEBC inakwamisha mapambano dhidi ya ufisadi?

Sudi Mnette30 Juni 2022

EACC imegeukia kutafuta ushawishi wa viongozi wa kidini baada ya tume ya uchaguzi nchini humo IEBC kuwaidhinisha viongozi ambao uadilifu wao unatiliwa shaka kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa mwezi Agosti. Sikiliza mahojiano kati ya Sudi Mnette na mjuzi katika siasa za Kenya Profesa Macharia Munene kuhusu suala hilo.

https://p.dw.com/p/4DU0p