1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushindi wa Biden utaboresha mahusiano ya Marekani na Ulaya?

Iddi Ismail Ssessanga9 Novemba 2020

Viongozi wengi wa Ulaya wanatumai Joe Biden atasaidia kurekebisha mahusiano ya mataifa ya kanda ya Atlantiki. Lakini baadhi pia wanasema hata kama Biden atakuwa mshirika mwepesi zaidi kuliko mtangulizi wake aliyeonesha chuki ya wazi wazi dhidi ya Ulaya, Ulaya isitarajie mwanzo wa zama mpya kwa uhusiano wa Atlantiki chini ya Joe Biden. Iddi Ssessanga na mengi kwenye makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/3l2VR