SiasaJeshi la polisi Hong Kong latishia kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanajiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa18.11.201918 Novemba 2019Maandamano mjini Hong Kong yamekumbwa na ghasia mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa, na maafisa wa polisi sasa wametishia kutumia risasi za moto sdhidi ya waandamanaji. Mengi zaidi ni katika vidio hii ya Kurunzihttps://p.dw.com/p/3TEGiMatangazo