1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya polisi kutunza amani Kenya

24 Agosti 2017

Idara ya utawala kwenye jeshi la polisi inaendesha kampeni ya kuhimiza amani kote nchini, kwa kuandaa mashindano ya michezo kati ya polisi, wanasiasa na wananchi pamoja na maandamano ya amani.

https://p.dw.com/p/2imB5
Kenia "Peace Cop" Kampagne gegen Polizeigewalt
Picha: DW/W. Mbogho

J3 24.08 Kenya: Friendly police campaigns - MP3-Stereo