1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni za siasa zaendelea kupamba moto kuelekea uchaguzi

Thelma Mwadzaya18 Julai 2022

Kampeni za uchaguzi nchini Kenya zinajikita kwenye hatua za kuzinasa kura za miji mikuu. Hii leo muungano wa Kenya Kwanza ulitua jijini Nairobi kunadi sera zao. Waangalizi 48 wa muda mrefu wa Umoja wa Ulaya watashiriki kwenye uchaguzi wa Agosti baada ya ujumbe kuzinduliwa rasmi. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4EIpo