Baraza la Maaskofu nchini Tanzania, TEC, limekemea matukio ya utekaji na mauaji ambayo yamekuwa yakíendelea kushuhudwia nchini humo katika siku za hivi karibuni. Katika tamko lake, TEC imehoji wapi wanapa nguvu watekaji. Hawa Bihoga anazungumza na Marcel Hamduni kuhusu tamko hilo.