Wakaazi wa Kaunti ya Lamu nchini Kenya wamewekewa marufuku ya kutotoka nje kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri kufuatia mashambulizi matatu ya wanamgambo wa Al Shabaab. Msikilize mwakilishi wadi wa eneo hilo Salim Mohammed kuhusu hali ilivyo hivi sasa.