1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya kuna uhaba wa dawa ya kuua Nzige

thelma28 Januari 2020

Serikali ya Kenya inakabiliwa na uhaba wa dawa za kunyunyiza nzige wa jangwani ambao wanaendelea kusambaa kwenye maeneo kadhaa, huku wataalam wakishauri kuanza kutumia ndege zisizokuwa na rubani kunyunyizia dawa ili kuongeza ufanisi dhidi ya nzige hayo wanaokaribia mji mkuu wa Nairobi.Thelma Mwadzaya anasimulia taarifa hiyo.

https://p.dw.com/p/3WuPe